Sunday, January 26, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAR 26.01.2014 KATIKA PICHA


Mtumishi wa Mungu Cuthbert ndiye aliyekuwa Mwalimu wa Sunday School 



unanielewa ,hapa mtumishi wa Mungu Mwl.Cuthbert Mwaibela akiongea na kanisa wakati wa kipindi cha Sunday School



Timu ya waitikiaji


Kwa vyovyote ile lazima nimwimbie Mungu wangu,Mtumishi wa Mungu Ruben akimsifu Mungu

Kwaya ya kanisa ikihudumu

Mch.Lugano akisisitiza jambo


Lazima tumwabudu Mungu wetu,Mchungaji kiongoji akiongoza kanisa kwenye kumwabudu Mungu

Mpiga Drums Davies akimtumikia Mungu

Nafuatilia kwa ukaribu zaidi ndani ya Biblia


Thursday, January 16, 2014

JUMAPILI YA MATENDO YA MUNGU EAGT PARADISE

Jumapili ya Tar 12.01.2014 ilikuwa ni jumapili ambayo kwa kwli matendo makuu ya Mungu yalidhihirika kanisani EAGT PARADISE,kwa kuwa jumapili hiyo ilikuwa ni siku maalum ambapo ulifanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa idara.Mungu alionekana katika eneo hilo maana Mungu alijichagulia watu wa kuhudumu katika huduma mbalimbali zilizopo kanisani hapo,
Pia ilikuwa ni siku maalum ya kumkaribisha Mchungaji Mathayo Henry ambaye ni mchungaji msaidizi wa kanisa hilo baada ya kurejea kutoka kwenye harusi yake .Fuatana nami katika kukuletea matukio hayo katika picha
Mtumishi wa Mungu Hokororo Alihudumi siku hiyo


ULIFIKA WAKATI WA KUWACHAGUA VIONGOZI


Pichani ni Mchungaji Mathayo Henry ambaye ndiye aliyesimamia uchaguzi huo

Uchaguzi ukiendelea

Watumishi wa Mungu wako makini kufuatilia uchaguzi huo

Mmoja wa viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi huo

Mungu akutangulie katika utumishi ulioitiwa

Kiti moto jielezeni mbele ya kusanyiko

NA SASA NI WAKATI WA KUMKARIBISHA MCH.MATHAYO


Mchungaji na Mama Mchungaji wakiingia 







MC wa shughuli hiyo na pia ni MC katika shughuli mbalimbali za Kimungu akisema mawili matatu

Mchungaji alisema machache



Hongera Baba

Hongera Mtumishi wa Mungu

Wamama wa EAGT PARADISE wakielekea kumpongeza Mchungaji



Hongereni kweli Mungu ni Mwema

Thursday, January 9, 2014

IBADANI JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA 2014

Wanakwaya wa Kwaya ya Eagt Paradise Praise Centre wakimsifu Mungu

Mtumishi wa Mungu Kutoka Morogoro alikuwa Baraka kubwa sana kwenye ibada hiyo na wiki hiyo kwa ujumla

Mtumishi wa Mungu akiweka sawa jambo


Mtumishi wa Mungu Mwinjilisti Timothy Mwansasu akisoma neno la Mungu kwenye Ibada hiyo







Mungu ni mwema kila wakati Ndugu yetu Mtumishi wa Mungu Hokororo kutoka EAGT Temeke naye alikuja kusalimia na kuangalia jinsi kazi ya Mungu inavyosonga mbele


Palipo na Eliya na Elisha pia alikuwepo huyu ni ndugu yetu aliyeambatana na Mtumishi wa Mungu Kigosi


Baada ya Ibada Vijana wakijadili mambo mbalimbali ya kuweza kuusimamisha ufalme wa Mungu


Sunday, January 5, 2014

SEMINA YA VIONGOZI YAFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Semina ya Viongozi iliyoendeshwa na mtumishi wa Mungu Kigosi kutoka Morogoro ilikuwa ya mafanikio makubwa na Mungu alionekana katika semina hiyo.Tunakuletema baadhi ya picha za kwenye semina hiyo
Mtumishi wa Mungu Kigosi ndiye aliyekuwa Mwalimu katika semina hiyo




Mtumishi wa Mungu Kigosi akisisitiza jambo







Washiriki wa semina hiyo wakiwa makini kuandika vile vitu ambayo mtumishi wa Mungu Kigosi alivyokuwa akiviachilia

Kila mmoja yuko makini sana kusikiliza