Thursday, January 16, 2014

JUMAPILI YA MATENDO YA MUNGU EAGT PARADISE

Jumapili ya Tar 12.01.2014 ilikuwa ni jumapili ambayo kwa kwli matendo makuu ya Mungu yalidhihirika kanisani EAGT PARADISE,kwa kuwa jumapili hiyo ilikuwa ni siku maalum ambapo ulifanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa idara.Mungu alionekana katika eneo hilo maana Mungu alijichagulia watu wa kuhudumu katika huduma mbalimbali zilizopo kanisani hapo,
Pia ilikuwa ni siku maalum ya kumkaribisha Mchungaji Mathayo Henry ambaye ni mchungaji msaidizi wa kanisa hilo baada ya kurejea kutoka kwenye harusi yake .Fuatana nami katika kukuletea matukio hayo katika picha
Mtumishi wa Mungu Hokororo Alihudumi siku hiyo


ULIFIKA WAKATI WA KUWACHAGUA VIONGOZI


Pichani ni Mchungaji Mathayo Henry ambaye ndiye aliyesimamia uchaguzi huo

Uchaguzi ukiendelea

Watumishi wa Mungu wako makini kufuatilia uchaguzi huo

Mmoja wa viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi huo

Mungu akutangulie katika utumishi ulioitiwa

Kiti moto jielezeni mbele ya kusanyiko

NA SASA NI WAKATI WA KUMKARIBISHA MCH.MATHAYO


Mchungaji na Mama Mchungaji wakiingia 







MC wa shughuli hiyo na pia ni MC katika shughuli mbalimbali za Kimungu akisema mawili matatu

Mchungaji alisema machache



Hongera Baba

Hongera Mtumishi wa Mungu

Wamama wa EAGT PARADISE wakielekea kumpongeza Mchungaji



Hongereni kweli Mungu ni Mwema

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako hapa

Note: Only a member of this blog may post a comment.