Monday, August 26, 2013

ANGALIA PICHA ZA MKUTANO WA REINARD BONNKE VIWANJA VYA TAIFA

Angalia baadhi ya picha za mkutano mkubwa wa injili ulioandaliwa na huduma ya mwinjilisti wa kimataifa Reinhard Bonnke akiwakilishwa na kijana wake katika huduma Daniel Kolenda, mkutano ambao unafanyika katika uwanja wa nje wa taifa jijini Dar es salaam. ukishirikisha watumishi kutoka makanisa mbalimbali.








Picha zote kwahisani ya kanisa la Ufufuo na uzima, Tanganyika Packers Kawe, Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako hapa

Note: Only a member of this blog may post a comment.