SIKU SABA ZA MAOMBI YA VITA TAR 31.6.2014-6.7.2014
1.Mikesha ya Usiku
2.Ibada ya Jumamosi 5.7.2014
3.Ibada ya Jumapili,Hitimisho la Maombi
 |
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Mecky akihubiri kwenye Shule ya Jumapili(Sunday School) |
 |
Kipindi cha Sifa Kiliongozwa na Mchungaji Reuben |
 |
Timu ya Kusifu na Kuabudu |
 |
Kwa Mungu Hakuna Mzee ni Mtumishi wa Mungu ambaye hutubariki kila anaposimama na kumsifu Mungu |
 |
Mwinjilisti Joshua akihudumu Ibada ya Asubuhi |
 |
Wachungaji waliokuwepo kwenye ibada hiyo,Katikati ni Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole,Upande wa Kuume ni mwinjilist kutoka Morogoro Mwinjilist Joshua Malundo,na Upande wa Kulia ni Mchungaji Kobelo |
 |
Mchungaji Kobelo alihudumu ibada ya Jioni |
 |
Ni wakati wa Maombi Ibada ya Jioni |
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
SEMINA YA NENO LA MUNGU
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.