Kanisa la Eagt Paradise Praise Centre siku ya Jumamosi Tar.16.11.2013 liliendesha mkutano wa Injili Eneo la Mbagala Kichemchem.
Katika Mkutano huo Mungu alionekana na watu wengi wenye vifungo mbalimbali bwana Yesu aliwafungua
Tunakuletea baadhi ya Picha za matukio katika mkutano huo
Kwaya ya Kanisa la Eagt Praise Centre wakihudumu kwenye mkutano |
Kwaya ya wamama wa Eagt Paradise Praise Centre wakihudumu |
Kwa Mungu hakuna mzee,ni mama mtu mzima ambaye hata kwenye uzee wake bado anamtumikia Mungu akihudumu kwa njia ya uimbaji kwenye mkutano huo |
Mtumishi wa Mungu Davies akihudumu kwa njia ya uimbaji |
Ukiwa na Yesu kweli raha,hapa mtumishi wa Mungu Mwinjilisti Paul akicheza |
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Eagt Paradise Praise Centre,Mch.Lugano Mwakisole akiangalia watenda kazi kwenye mkutano huo uliofanyika Kichemchem Mbagala |
Mwinjilisti Timothy Mwansasu akihubiri katika mkutano huo |
Na zamu ya Mwinjilisti Isaya ilifika na yeye alileta lile kusudi la Mungu |
Ni baadhi ya watu waliohudhuria mkutano huo |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.