KIPINGI CHA SIFA
Mtumishi wa Mungu Reuben akiongoza kipindi cha Sifa |
Kumtumikia Mungu hakuna mipaka ni mtumishi wa Mungu kutoka Arusha |
Kwa Yesu Kunalipa |
Mtumishi wa Mungu kutoka mito ya Baraka alikuwepo kumsifu Mungu |
Ilifika zamu ya Kwaya ya Kanisa la Paradise kumsifu na kumwimbia Mungu |
Mtumishi wa Mungu Mwimbaji binafsi kutoka kanisa la Paradise Mchopa akimwimbia Mungu |
Kwaya ya wamama wa Paradise nayo haikuwa nyuma kumwimbia Mungu |
WAKATI WA MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Lugano Akihubiri Neno la Mungu |
WAKATI WA MAOMBI NA MAOMBEZI
Baadhi ya washirika wa EAGT Paradise wakiwa kwenye Maombi |
Mtumishi wa Mungu Joseph akitenda kazi |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.