Ibada hiyo ilikuwa ni maalum kwa ajili ya maombi ya UAMSHO WA KANISA LA MUNGU.
Nguvu za Mungu zilitembea sana na walihudhuria walishuhudia kuwa kweli wamekutana na nguvu za Mungu.
Tunakuletea matukio katika picha.
Maandalizi ya kipindi cha sifa
Mtumishi wa Mungu Reuben akiongoza kipindi cha sifa |
Mchungaji kiongozi wa Kanisa la EAGT Paradise akihubiri katika ibada hiyo |
Neno la Mungu ni nguzo katika kila kitu Mchungaji Lugano akisoma maneno ya Mungu kutoka katika Biblia Takatifu |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.