Wanakwaya wa Kwaya ya Eagt Paradise Praise Centre wakimsifu Mungu |
Mtumishi wa Mungu Kutoka Morogoro alikuwa Baraka kubwa sana kwenye ibada hiyo na wiki hiyo kwa ujumla |
Mtumishi wa Mungu akiweka sawa jambo |
Mtumishi wa Mungu Mwinjilisti Timothy Mwansasu akisoma neno la Mungu kwenye Ibada hiyo |
Mungu ni mwema kila wakati Ndugu yetu Mtumishi wa Mungu Hokororo kutoka EAGT Temeke naye alikuja kusalimia na kuangalia jinsi kazi ya Mungu inavyosonga mbele |
Palipo na Eliya na Elisha pia alikuwepo huyu ni ndugu yetu aliyeambatana na Mtumishi wa Mungu Kigosi |
Baada ya Ibada Vijana wakijadili mambo mbalimbali ya kuweza kuusimamisha ufalme wa Mungu |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.