Ujumbe katika ibada hiyo ulikuwa ni MAMBO YOTE UNAYOYAOGOPA YAONDOKE KWAKO
Neno lilitoka katika kitabu cha Samweli 1
1samweli 7:1-12
hapa tunasoma habari za mfalme Hezekia na kupewa taarifa juu ya kifo chake na Nabii wa Mungu Samweli.
Mtumishi wa Mungu Mwansasu alisema wakristo wengi wa leo si kama mfalme Hezekia,alipopata habari kutoka kwa Nabii wa Mungu kuwa atakufa,yeye hakutaka kusema na Nabii,kwa kuwa alimjua Mungu.
Alichokifanya aligeukia ukutani akalia sana na ndipo Mungu akasikia kilio chake na kumuongezea miaka kumi na tano zaidi ya kuishi.
Mtumishi Mwansasu alisema kuna jambo gani ambalo ni gumu sana mbele yako.Lipeleke kwa Mungu na hata kama lilikuwa likioneka gumu kiasi gani mbele yake hakuna gumu.
Alisisitiza kusanyiko kuwa watu wa Maombi ,maana kwa maombi pekee unaweza kuyashinda magumu
Zifuatazo ni baadhi ya picha kwenye ibada hiyo
Mtumishi wa Mungu Akili akiongoza Maombi ya kufungua Ibada KIPINDI CHA SIFA |
Mtumishi Timothy Mwansasu akiongoza kusanyiko kuimba nyimbo za TENZI ZA ROHONI |
Kusanyiko |
Mtumishi wa Mungu Joseph Sambai akimwimbia Mungu |
Dada Teddy naye aliimba wakati wa kipindi cha sifa |
Huyu ni Mtumishi wa Mungu Davies |
Kwaya ya kanisa |
Mama Mchungaji akisema na kusanyikoWAKATI WA NENO LA MUNGU |
Mtumishi wa Mungu Mwansasu akifundisha neno la mungu kwenye Ibada hiyo |
WAKATI WA MAOMBEZI
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.