Mungu bado ni mwema katikati ya Paradise,Pamoja na kazi kubwa ya kumjengea Mungu Hekalu .
Lakini kusudi la la kufanya Ibada za sifa na Kuabudu litabakia pale pale,Tar 11.5.2014 Kulikuwa na Ibada ya kusifu na kuabudu ,Hizi ni baadhi ya picha na ibada ya Asubuhi pamoja na Ibada ya Kusifu na Kuabudu inayofanyika kila jumapili ya mwanzo wa mwezi.
IBADA YA ASUBUHI:
 |
Kiongozi wa Sifa wa siku hiyo Mtumishi wa Mungu Timothy Mwansasu akiongoza kusanyiko kuimba nyimbo za Tenzi za rohoni katika kipingi cha sifa cha ibada ya Asubuhi |
 |
Mtumishi wa Mungu Ruben Akiongoza Kusanyiko katika kusifu |
 |
Wapiga vyombo watumishi wa Mungu Eddy na Enosh wakitumika
|
 |
Kwaya ya kanisa Paradise Choir |
 |
Praise Team |
 |
Praise Team |
BAADA YA IBADA WAMAMA WA PARADISE WALIMTEGEMEZA MCHUNGAJI
 |
Wamama wakiwa na Saadaka zao tayari kuzitoa kwa Mtumishi wa Mungu |
IBADA YA SIFA JIONI
 |
Hata Mchungaji pia alisimama na kumsifu Mungu |
 |
Ilifika wakati watu walishindwa kukaa kwenye viti na waliinuka na kumchezea Mungu wao |
 |
Praise Team |
 |
Kiongozi wa Ibada ya Kusifu na Kuabudu Mama Mchungaji akiongea |
 |
Mtumishi wa Mungu Irene Mwakajila akimuimbia Mungu kwenye ibada hiyo ya Sifa |
 |
Huyu ni Mtumishi wa Mungu Majaliwa akiimba "Kwa msaada wa Roho tunashinda yote ya Dunia" |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.