Mmoja wa waimbaji wa Peace Band |
Sehemu ya waliohudhuria ibada hiyo ya Kusifu na Kuabudu |
Praise Team |
Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole akizungumza na kanisa |
Kiongozi wa Sifa Reuben akiongoza kusanyiko katika kumwabudu Mungu |
Hapa vilikuwa vinapigwa viduku vya nguvu,kama Mungu amekupa Afya na kila kiungo kiko sawa basi ni vizuri kumsifu Mungu kwa viungo alivyokupa |
Kwaya ya Kanisa nayo ilikuwepo kumsifu na kumwabudu Mungu |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.