EAGT PARADISE ni kanisa la Kipentekoste lililo chini ya EAGT,
Kanisa hili lipo Mbagala Zakhem,karibu na viwanja vya wazi Zakhem(Kwa watengeneza masofa),
PARADISE linaongozwa na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Lugano Mwakisole.
Pichani ni Mtumishi wa Mungu Prince akishuhudia na kumwimbia Mungu jinsi alivyomponya kwa ugonjwa wa Kansa.Mtumishi huyo wa Mungu yuko mbioni kurekodi ushuhuda wa tukio hilo
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.