Kuanzia Wiki Ijayo Tutakuletea sehemu ya kukutana na Watumishi wa Mungu na wao wataachilia kile Mungu alichosema nao ili kulijenga Kanisa la Mungu na Mwili wa Kristo
Kwa kuanzia wiki ijayo tutamleta Kwenu Mtumishi wa Mungu Cuthbert Mwaibella
Fuatana nae katika masomo atakayokuwa anatuletea .Mungu akubariki
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.