Monday, June 30, 2014

IBADA YA JUMAPILI TAR 29.6.2014

Mtumishi wa Mungu Akili akifundisha wakati wa Shule ya Jumapili(Sunday School)

Kiongozi wa Sifa Ruben akiongoza Kusanyiko katika kipindi cha Sifa

Mtumishi wa Mungu Davies Sumaye akihudumu kupitia Drums

Ilikuwa ni nafasi ya waimbaji binafsi kumuimbia Mungu na huyu alikuwa anaimba wimbo wenye ujumbe "KWA MSAADA WA ROHO TUNASHINDA "

Irene Mwakajila akimuimbia Mungu wakati wa kipindi cha Sifa

Mtumishi wa Mungu Teddy Komba pia alipata nafasiya kumuimbia Mungu

Mwenyekiti Msaidizi waUjenzi akiongea na Kusanyiko juu ya mkakati wa Ujenzi

Ilifika wakati wa kusikia kutoka mezani kwa Bwana na ujumbe uliletwa na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole

No comments:

Post a Comment

Andika maoni yako hapa

Note: Only a member of this blog may post a comment.