Mtumishi wa Mungu Akili akifundisha wakati wa Shule ya Jumapili(Sunday School) |
Kiongozi wa Sifa Ruben akiongoza Kusanyiko katika kipindi cha Sifa |
Mtumishi wa Mungu Davies Sumaye akihudumu kupitia Drums |
Ilikuwa ni nafasi ya waimbaji binafsi kumuimbia Mungu na huyu alikuwa anaimba wimbo wenye ujumbe "KWA MSAADA WA ROHO TUNASHINDA " |
Irene Mwakajila akimuimbia Mungu wakati wa kipindi cha Sifa |
Mtumishi wa Mungu Teddy Komba pia alipata nafasiya kumuimbia Mungu |
Mwenyekiti Msaidizi waUjenzi akiongea na Kusanyiko juu ya mkakati wa Ujenzi |
Ilifika wakati wa kusikia kutoka mezani kwa Bwana na ujumbe uliletwa na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole |