Monday, February 24, 2014

SEMINA ILIYOENDESHWA NA MTUMISHI WA MUNGU MAMA MBASHA YAMALIZIKA EAGT PARADISE MBAGALA ZAKHEM

Ilikuwa ni neema kwa kanisa la Eagt Paradise kwa kuwa na semina ambayo ilianza tar 19.2.2014 na kumalizika tar 23.2.2014 ambayo iliendeshwa na Mama yake Frola Mbasha.
Katika kumalizia kwake Mtumishi wa Mungu alisisitiza sana kwamba sisi ni wa thamani sana mbele ya Mungu.
Alisema wakati ule wa utawala wa mfalme Nebkadneza,vijana waliomjua Mungu yaani Meshaki,Shedraki na Abednego wao walijua uthamani wao na Mungu wao.

Angalia baadhi ya picha kwenye ibada hiyo


Mtumishi wa Mungu Reuben akimsifu Mungu

Dada Irene naye ilikuwa ni zamu yake kusimama mbele za Mungu na kumwimbia

Pichani ni kwaya ya kanisa ikimsifu Mungu


Huyu ni mtumishi wa Mungu Mwangosi alitutembelea naye akapata nafasi na ujumbe wa nyimbo yake ulikuwa ni ule ule kuwa wewe ni wa thamani sana mbele za Mungu

Mchungaji kiongozi Lugano akisema na kanisa

Ulifika wakati wa kumkaribisha muhudumu,pichani Mama Mchungaji akimwinua Mumishi wa Mungu Mama Mbasha

Karibu mama utupe Chakula cha Roho ni kama maneno ambayo anayasema mbele ya mtumishi wa Mungu Mama Mbasha madhabahuni



Wewe ni wa thamani sana mbele za Mungu 


wakati wa maombezi



Wamama wa Eagt Paradise wakipeleka zawadi kwa mtumishi wa Mungu Mama Mbasha



Mwenyekiti wa wamama wa Eagt Paradise Judy Mecky akimshukuru Mtumishi wa Mungu kwa kipindi chote alichokuwa nasi


Mtumishi wa Mungu akuwashukuru wamama na kanisa kwa ujumla



Saturday, February 22, 2014

MATUKIO IBADANI















IBADA YA SIFA NA KUABUDU ILIYOFANYIKA 2.2.2014 KATIKA PICHA

Mmoja wa waimbaji wa Peace Band


Sehemu ya waliohudhuria ibada hiyo ya Kusifu na Kuabudu





Praise Team

Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole akizungumza na kanisa


Kiongozi wa Sifa Reuben akiongoza kusanyiko katika kumwabudu Mungu








Hapa vilikuwa vinapigwa viduku vya nguvu,kama Mungu amekupa Afya na kila kiungo kiko sawa basi ni vizuri kumsifu Mungu kwa viungo alivyokupa







Kwaya ya Kanisa nayo ilikuwepo kumsifu na kumwabudu Mungu