| Mtumishi wa Mungu Akili akifundisha wakati wa Shule ya Jumapili(Sunday School) |
| Kiongozi wa Sifa Ruben akiongoza Kusanyiko katika kipindi cha Sifa |
| Mtumishi wa Mungu Davies Sumaye akihudumu kupitia Drums |
| Ilikuwa ni nafasi ya waimbaji binafsi kumuimbia Mungu na huyu alikuwa anaimba wimbo wenye ujumbe "KWA MSAADA WA ROHO TUNASHINDA " |
| Irene Mwakajila akimuimbia Mungu wakati wa kipindi cha Sifa |
| Mtumishi wa Mungu Teddy Komba pia alipata nafasiya kumuimbia Mungu |
| Mwenyekiti Msaidizi waUjenzi akiongea na Kusanyiko juu ya mkakati wa Ujenzi |
| Ilifika wakati wa kusikia kutoka mezani kwa Bwana na ujumbe uliletwa na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.