| Mtumishi wa Mungu Cuthbert ndiye aliyekuwa Mwalimu wa Sunday School |
| unanielewa ,hapa mtumishi wa Mungu Mwl.Cuthbert Mwaibela akiongea na kanisa wakati wa kipindi cha Sunday School |
| Timu ya waitikiaji |
| Kwa vyovyote ile lazima nimwimbie Mungu wangu,Mtumishi wa Mungu Ruben akimsifu Mungu |
| Kwaya ya kanisa ikihudumu |
| Mch.Lugano akisisitiza jambo |
| Lazima tumwabudu Mungu wetu,Mchungaji kiongoji akiongoza kanisa kwenye kumwabudu Mungu |
| Mpiga Drums Davies akimtumikia Mungu |
| Nafuatilia kwa ukaribu zaidi ndani ya Biblia |