| Mmoja wa waimbaji wa Peace Band |
| Sehemu ya waliohudhuria ibada hiyo ya Kusifu na Kuabudu |
| Praise Team |
| Mchungaji Kiongozi Lugano Mwakisole akizungumza na kanisa |
| Kiongozi wa Sifa Reuben akiongoza kusanyiko katika kumwabudu Mungu |
| Hapa vilikuwa vinapigwa viduku vya nguvu,kama Mungu amekupa Afya na kila kiungo kiko sawa basi ni vizuri kumsifu Mungu kwa viungo alivyokupa |
| Kwaya ya Kanisa nayo ilikuwepo kumsifu na kumwabudu Mungu |
No comments:
Post a Comment
Andika maoni yako hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.